2 Kings 4:1

Mafuta Ya Mjane

1 aMke wa mmoja wa wana wa manabii akamlilia Al-Yasa, akamwambia, “Mtumishi wako, mume wangu, amekufa, nawe unajua alikuwa anamcha Bwana. Lakini sasa yule anayemdai anakuja kuchukua wanangu wawili kama watumwa wake.”

Copyright information for SwhKC